KOCHA WA ASRENAL, MZEE ARSENE WENGER AMEWATAKA MASHABIKI WA KLABU HIYO KUMPA MUDA ILI AKIJENGE UPYA KIKOSI CHAKE BAADA YA KUKIMBIWA NA BAADHI YA NYOTA WAKE.
AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI NCHINI UINGEREZA WENGER ALISEMA SAFU YAKE YA ULINZI ILIZIDIWA NA WASHAMBULIAJI WA MANCHESTER UNITED, KUTOKANA NA HILO KOCHA HUYO ANATAZAMIWA KUKAMILISHA USAJILI WA BEKI WA KIJERUMANI, PER MERTESACKER NA MSHAMBULIAJI WA KOREA KUSINI NA MONACO, PARK CHU-YOUNG ALIYETUA RASMI KLABUNI AKISUBILI KUTAMBULISHWA RASMI.
Popular Posts
8.30.2011
8.25.2011
AU KUCHANGISHA FEDHA
Umoja wa Afrika(AU) yenye makao yake makuu Addis Ababa, nchini Ethiopia imepanga kuchangisha fedha ili kuziwezesha nchi za pembe ya afrika.
AU ambayo imepanga kukutana hivi leo itawakutanisha viongozi wa Afrika kutoka nchi wanachama huku lengo likiwa ni kukusanya dola bilioni moja na nusu kukabiliana na janga la njaa kwenye nchi hizo ambazo ni Somalia, Djibout, Eritrea, Ethiopia na Sudan.
Mkutano ambao ni wa kwanza wa aina hiyo utaongozwa na mwenyekiti wake, Bw. Jean Ping.
Mbali na nchi zaMarekani, Brazili,China, Uingereza,Japan, Uturuki na Jumuiya ya Nchi za Kiislamu(OIC) kutoa misaada, lakini, umoja huo umelalamikiwa kwa kuchelewesha misaada kwa wakazi wa maeneo hayo.
Janga hili linasemwa kuwa kubwa tangu kutokea kwa hali kama hiyo mwaka 1991-1992 huko nchini Somalia.

8.24.2011
NDEGE YA MIZIGO YA URUSI YAPATA AJALI
Ndege ya Urusi iliyokuwa imebeba mizigo kuelekea ukanda wa kimataifa wa bahari imepata ajali eneo la pwani ya Siberia, maafisa wa masuala ya dharura nchini wamesema hivi leo. Ndege hiyo ya mizigo ilitua nchini Kazakhstan saa moja kutokea Baikonur Cosmodrome, ikiwa karibu na kutua.
Timu ya waokoaji imepelekwa eneo la tukio, tawi la Masuala ya Dharura la ukanda huo lilisema, huku maafisa hao wakisita kusema kama ajali hiyo imesababisha madhara yeyote hadi sasa wakati taarifa za uchunguzi zikisema ndege hiyo imepata ajali eneo la ukanda wa Altai.
Mapema jumatano hii shirika la masuala ya anga cha nchini Urusi la Roscosmos limeripoti kwamba ndege hiyo ya mizigo ilipoteza uelekeo mara baada ya kuondoka hivyo kupotea njia yake na kuipotea rada.

WAASI WAZIDI KUMWANDAMA KANALI GADAFFI
Waasi wa nchini Libya wameendeleza mashambulizi dhidi ya kiongozi wa nchi hiyo, Kanali Muhamar Gadaffi huku safari hii wakiahidi kutoa kitita kinono kwa yeyote atayefanikisha kukamatwa kwa kiongozi huo.
Wakati huo nchi za magharibi zinatazamiwa kutoa mabilioni ya fedha kwa waasi hao ili kufanikisha oparesheni dhidi ya wanayemwita dikteta yaani "kanali Gadaffi" , wakati hayo yakijiri yeye mwenyewe kanali gadaffi amedai waasi hao wangefikia suluhisho mapema endapo mabepari wa magharibi wangeuchia Umoja wa Afrika kutafuta muafaka wa tatizo hilo.

Subscribe to:
Comments (Atom)